Wanawake Live

My blogs

About me

Gender Female
Industry Communications or Media
Location Dar es Salaam, Tanzania
Introduction Naitwa Joyce Kiria Mimi ni mtoto wa kwanza kwa familia ya watoto saba. Kama mtoto yeyote yule nilikuwa na ndoto za kufaulu katika maisha. Hata hivyo karibu ndoto zangu zididimizwe na kitendo cha ukatili (..) nilichofanyiwa nikiwa mtoto. Katika umri wa 14 ilinibidi niache shule, Umri wa miaka 15 nilianza kufanya kazi za ndani ili kuwasaidia wazazi wangu kuikimu familia yetu. Kuacha kwangu shule kulinitia machungu, Ila sikuacha hili kuwa pingamizi la kufikia Ndoto yangu. Leo hii nasimama mbele yenu kama mfano mzuri wa mfanyakazi za ndani (house girl) aliyekataa kuikubali hali ya kuididimiza NDOTO yake. Yale niliyoyapitia nikiwa Mtoto, Mschana mdogo na Mwanamke yamenisababisha kufanya uamuzi wa kuleta utofauti katika maisha ya watoto waschana na wanawake kupitia Wanawakelive na HAWA Org. Blogger: +255(0)753787126 E-mail Address: wanawakelive2012@gmail.com
Favorite Movies Diary of mad Black Woman Think like A man
Favorite Music All songs