John J. Malata

My blogs

Blogs I follow

About me

Gender Male
Industry Education
Occupation Enterprenuar/Tutor
Location Dar Es Salaam, Tanzania
Introduction Mimi ni mtanzania.Ninajihusisha na maswala ya kijamii hasa Elimu na Ujinsia.Ninaguswa na dhana ya Wasomi jamii.Kama raia nina uhuru wa kujieleza Najaribu kuitazama haiba ya jamii yetu kwa kuzingatia mambo yanayojitokeza katika utashi wa matendo yetu ili kuleta ufunuo mpya na matarajio mema ya jamii yetu kwa siku za usoni.Naamini kwa kutumia blogu nitaweza kutawanya maarifa na kuibua mijadala ambayo itaamua mustakabali wa taifa letu.