Peter Augustino
My blogs
Blogs I follow
Gender | Male |
---|---|
Industry | Publishing |
Location | DAR ES SALAAM, TANZANIA, UNITED REPUBLIC OF, Tanzania |
Introduction | Peter Augustine ni mwandishi habari, mwandishi vitabu, mjasiriamali na mtafiti wa maswala mbalimbali ya kijamii. Ni mwanzilishi na mhariri wa gazeti la SayariMpya, ameandika vitabu mbalimbali vikiwemo; “Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali”, “Siri ya mafanikio ya Biashara Duka la Rejareja”, “Mifereji 7 ya Pesa na Siri matajiri wasiyopenda kuitoa” na vingine vingi. Peter pia hupendelea kublog jambo lolote linaloigusa jamii hususan Ujasiriamali, Biashara, na Maendeleo binafsi ya watu. Simu: 0712202244 Whatsapp: 0765553030 E-mail: jifunzeujasiriamali@gmail.com |
Interests | blogging |
Favorite Music | Reggae music, Country & soul songs and Bolingo |
Favorite Books | Think & Grow Rich, The River Between, Temptation & Other Stories, The Spinning Wheel(the story of Industial Revolution). |