Jiang

My blogs

Blogs I follow

About me

Gender FEMALE
Industry Communications or Media
Occupation Journalist
Location Dar es Salaam, Tanzania
Introduction Naitwa Jiang, wanangu ni Xchyler na Xyleen. Vitu viwili vimenifanya nianzishe hii blog, kwanza ni inspiration toka kwa mwanangu wa kwanza, so nataka ku-share kila kitu kuhusu watoto, changamoto, mafanikio, ups n downs na kila kitu hapo kati. Pili as mwandishi wa habari na natumia ujuzi huo kuexpress hivyo vitu vyote hapa. Karibu u-enjoy na tu-share kitu kizuri kuliko vyote duniani, kuwa mama.