Farida
My blogs
| Gender | Female |
|---|---|
| Location | Namibia |
| Introduction | Siku zote mimi nimekua ni mtu wa kuangalia afya yangu kwa kuhakikisha nakula chakula kinachofaa ili kuhakikisha uzito wangu haupiti kiasi. Kwa muda wa miaka 5 sasa tangu nimpate mwanangu, nimekua niko kwenye uzito wa 55kg-57kg. Urefu wangu ni 167cm kwa hiyo niko kwenye uzito unaofaa kutokana na "BMI". Familia yangu pia inafuata lyfestyle hii na wote tuko kwenye uzito mzuri. Ningependa kushare hii "lyfestyle" na watu wengine ambao wanajali afya zao. |
| Interests | Weight watching. Nutrition and dieting. Gardening, and outdoor living |
