Markus Mpangala.

Blogs I follow

About me

Gender Male
Industry Non-Profit
Location Lundu, Mbinga, Tanzania
Introduction Najua kusoma na kuandika kama wewe, nashukuru walimu wangu kunijuza. Naweza kuongea kama wewe tu sina tofauti. Naamini kila mmoja anaupendo kama mimi tu. Nilizaliwa nyasa, nitabaki mnyasa, na napahusudu sana. Nina vipaji vingi, toka uigizaji,uandishi,muziki,soka,ndondi,na uvuvi wa samaki hapa nyasa. Nashukuru baba na mama, Rafiki zangu-nawapenda sana. MAWASILIANO NAMI: jikomboe@gmail.com au lundunyasa@yahoo.com
Favorite Movies Tomorrow Never Die(James Bond) na Set It Off(Quen Latifah)
Favorite Music Kwaito, Hip hop, Bolingo, Lindeko la nyasa
Favorite Books Harakati za Joram Kiango(Ben Mtobwa)