Musoma

My blogs

About me

Location Musoma, Mara, Tanzania
Introduction Nimezaliwa 18/10/1974. Nimepata Elimu yangu ya Msingi katika shule ya Mkendo na Iringo zote za Musoma, baada ya hapo nilijiunga na masomo ya sekondari katika sekondari ya Ikizu iliyopo wilayani Bunda Mkoani Mara. Baada ya hapo niliamua kujikita na masuala ya motor electronics motor mechanics na sound tech ambayo nayafanya kwa uwezo wa hali ya juu, Pia ni Mfanyabiasha wa muda mrefu. Nimeoa 22/12/2002 nimebahatika kupata watoto 3 .Pamoja na hayo yote nimekuwa na mapenzi na shauku na siasa kwa muda mrefu na hii imenipelekea kujikita rasmi katika kuwania ubunge jimbo la Musoma mjini kwa mwaka huu 2010