BONGO SHOPAHOLICS

My blogs

Blogs I follow

About me

Gender Female
Industry Fashion
Location DAR ES SALAAM, Tanzania
Introduction Hello fellow shopaholics. My name is Olivia. Karibu sana Bongo Shopaholics blog. SHOPAHOLIC ni duka la mitumba la kike linalo patikana makumbusho,Dar es salaam Tanzania.Tunauza first grade office wear na dresses za mtumba kutoka UK,MAREKANI na AUSTRALIA. Tunafungua mzigo kila mwezi. Naamini sio lazima utumie pesa nyingi ili uonekane stylish. Hata kwa pesa kidogo wewe pia unaweza kupendeza, nia na madhumuni ya kuanzisha SHOPAHOLIC ni kumsaidia middle class Tanzanian woman kupendeza kwa bei nafuu,bei zetu zina range between 15,000/- mpaka 40,000/- kwa nguo na 15,000/- mpaka 60,000/- kwa viatu na 35,000/-mapochi na clutch. Tunauza nguo size 8 mpaka size 22 (UK size). I love fashion and since its my passion naona ni share na watanzania wenzangu. I believe GOD gives us passion so that we can share that passion with other people. Natoa free fashion and style consultataion.Ndani ya blog hii nitaongelea kuhusu fashion na pia nitakua niki post new arrivals kwenye duka letu na hapa na pale nitakua niki showcase my personal style. For more information contact me on 0719 935701 0r email bongoshopaholics@yahoo.com Thanks for stopping by
Interests I'M INTERESTED IN ANYTHING TO DO WITH FASHION.
Favorite Movies i'M NOT A MOVIE PERSON.LOVE REALITY SHOWS
Favorite Books INSPIRATIONAL & SELF HELP BOOKS