Zubagy Akilimia

My blogs

About me

Gender Male
Industry Communications or Media
Occupation Journalist
Location Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Introduction Kazi ni mhimili wa maisha, kwa maana hiyo unapaswa kufanya kazi kwa bidii ili mwisho wa siku uishi maisha mazuri yenye furaha. Kwa kuzingatia hilo, nimeona siyo vibaya wakati mwingine kukuletea pumziko popote ulipo. Pumziko la kweli. Karibu uliwazike na machombezo makali, pamoja na habari motomoto zinazojiri Bongo. Karibuni waungwana...
Interests hadithi, filamu na muziki
Favorite Movies Fake Pastor na Misukosuko
Favorite Music Napenda sana muziki wa bongo fleva, wakati mwingine huwa napenda kusikiliza muziki laini
Favorite Books True Love na Simu ya Kifo.