Dinah

My blogs

About me

Gender FEMALE
Industry Non-Profit
Occupation Writer,Mum-tastic to my 2 kids, Lover & Wife to Mr DK
Location Dar es salaam/Bearsden, Kisarawe a.k.a KissWay/Bearsden, United Kingdom
Introduction Najulikana kwa wengi kama Dinah(linatamkwa diina/dena)ni kifupi cha jina langu. Nilizaliwa Dar miaka mingi iliyopita, nikasoma Elimu ya awali mikoa tofauti alafu nikamalizia Elimu ya Sekondari hapa Dar, kisha nikawa nazuga mtaani mpaka wakati ulipofika wa kujiunga na Elimu ya juu na hatimae kufanya kazi kwenye Media. Baada ya muda nikaamua kubadili fani na kuendelea na masomo ya juu ambayo nilikwenda kuyamalizia Uingereza. Sasa najaribu kugawa muda kati ya Kazi na majukumu kama Mke kwa mume wangu na Mama kwa wanangu Wawili. Nikipata muda na blog!
Interests Kuongea na watu, kusaidia watu, kusoma, kucheka, kuandika (nikikosa kazi), kufanya manunuzi, kujadili mambo kwa kina
Favorite Movies Sio mtu wa mambo ya kuigiza(acting) na prefer habari zaidi au matukio ya kweli hasa kwenye vipindi vya Teknolojia au uchunguzi
Favorite Music Bongo flava, Sebene, RnB, Kwaito na Mapouka
Favorite Books children Books

Your hand has been replaced by a rubber stamp. What does it say?

Najipenda...