Mwenge Christian Center

My blogs

About me

Industry Communications or Media
Occupation Creative Director
Location Mwenge, Dar es salaam, Mwenge, Kinondoni, Tanzania
Introduction Ni mojawapo ya Makanisa ya mahala pamoja katika mtandao mkubwa wa usajiri wa T.A.G. Kitaifa. Mtandao wote toka ngazi ya mwanzo kupanda juu, utawala upo katika ngazi zifuatazo; Sehemu, Jimbo, Kanda na hatimaye Kitaifa. Hivyo T.A.G. Mwenge iko sehemu ya Kinondoni, Jimbo la Mashariki. T.A.G. Mwenge ilianzishwa tarehe 27/12/1978. Hivyo Desemba 2008 ilitimiza miaka 30. Historia ya T.A.G Mwenge inasimulika vizuri zaidi chini ya msingi imara wa utendaji wa Muasisi wake Rev. J. E. Mboma, ambaye aliyefariki Agosti 2006. Amerithiwa na aliyekuwa Mchungaji Msaidizi, Mchungaji Abdiel Meshack Mhini. Hivi sasa Kanisa linasonga mbele kama Jeshi la Mungu lililo imara.