Dkt. Moses Ringo (MD)

My blogs

About me

Gender Male
Industry Science
Location Dar Es Salaam, Tanzania
Introduction Mhitimu wa Shahada ya Udaktari wa Binadamu (Doctor of Medicine) ya Chuo cha Afya Muhimbili.Nawashukuru wale wote waliofanikisha kwa njia moja au nyingine kunifanya daktari. Nimeguswa kuanzisha blogu hii ya kiswahili na kiingereza ili kuitumia ipasavyo elimu yangu ambayo nimeipata kutokana na kodi za watanzania wenzangu katika kuwaelimisha juu ya Maradhi (afya) tuunganishe nguvu kupigana na mmoja wa maadui wetu baada ya Uhuru. Ni matumaini yangu kwamba kwa kudra za Mwenyezi Mungu itakwenda kuwa chanzo cha mabadiliko chanya ya kimtazamo kuhusu Maradhi.
Interests Kusikiliza muziki (kizazi kipya), Kusafiri, Kusoma magazeti, Kutazama runinga, Kukutana na marafiki, Kucheza muziki n.k
Favorite Movies Italian Job, Fake Pastors
Favorite Music Bongoflavor, Hiphop, Gospel
Favorite Books Bible