darasalamapenzi

My blogs

About me

Location Dar es salaam, Tanzania
Introduction 3. Kuwafundisha wachumba, wapenzi na wanandoa juu ya athari za kuvunjika kwa mapenzi na namna ya kuepuka usaliti wa mapenzi. 4. Kuwafahamisha juu ya mambo wanayotakiwa kuyafanya wachumba, wapenzi na wanandoa ili kutovunja mahusiano/mapenzi kati yao. 5. Kutoa ushauri wa kisaikolojia ya mapenzi/mahusiano kwa waliohitilafiana/waliosalitiana kimapenzi na kusababisha maumivu/majeraha ili waweze kuendelea na mapenzi/mahusiano kiufasaha zaidi na kuepuka makwazano katika mapenzi yasitokee tena. 6. Kuwapa ushauri wa kisaikolojia ya mapenzi wale wote walioathirika kimapenzi kwa kuachwa , kupigwa, kuteswa ili waweze kuishi kwa amani, upendo, matumaini na matarijio mapya ya kupata/kurudia tena matika mahusiano/mapenzi. 7. Kutoa elimu sahihi ya mapenzi/mahusiano kwa vijana wanaotegemea kuingia/kuanza maisha ya uchumba, mapenzi na ndoa na kuwafanya waweze kuwa makini ili kuepuka athari za kuvunjika kwa mapenzi/mahusiano. 8. Kutoa ushauri wa kisaikolojia kwa vijana ambao ni watukutu na wameshindikana katika familia na jamii kutokana na tabia zao mabya na utovu wa kimaadili ili kuweza kuwafanya waishi vizuri na kuleta tija katika jamii na kuwa na mahusiano na maisha mazuri