Moo Jr. Sarya

My blogs

About me

Gender Male
Occupation Posta
Location Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
Links Audio Clip
Introduction Mwandishi mahiri,napenda taaluma hii karibu tukutangazie ewe mfanyabiashara ufikie maelfu ya watu
Interests Napenda kuskiliza miziki, pia mwenyewe ni mwanamziki wa kizazi kipya sema tu sijapata mfadhili wa kuweza kunitoa. nachukia sana majungu, kuonewa, kunyanyaswa na kutokutendewa haki, napenda mtu anayenipa stori za mapinduzi ya maisha na watu waliowahi kupinga kuonewa, napenda kuwasiliana na marafiki.napenda kufuatilia matukio yaliyoweka rekodi na ya ajabu. kama unapenda kuwa rafiki yangu tuwasiline .mobinsons@yahoo.com.
Favorite Movies AHH...Napenda maigizo ya kibongo na hivi vitimbi vya the commed lakini mimi mwenyewe napenda kusoma historia za watu maarufu duniani hapo hunitoi hata kama ni ndefu mnooo.
Favorite Music Jamani nimesema napenda miziki ya kizazi kipya pia nje nampenda yule R kelly na wimbo wake The Burning
Favorite Books AH kama ni vitabu napenda Vitabu vyote vya Dini zote Uislam na Ukiristo kwani ndipo napata hekima. pia kuna kitabu kinaitwa Afrika Inakwenda Kombo