Shally's Med Corner

My blogs

About me

Industry Science
Location Kilimanjaro, Moshi Mjini, Tanzania
Introduction Masuala ya Tiba na Afya ni miongoni mwa masuala muhimu katika maisha yetu ya kila siku.Kwa kuzingatia ukweli huo,blog hii inaungana na mamia ya blog nyinginezo duniani ili kujadili katika lugha tamu ya Kiswahili masuala yanayohusu afya,tiba na habari mbalimbali katika uwanja huo. Unakaribishwa kutoa maoni, mapendekezo,kuuliza swali, kuchangia na mengineyo. Unaweza kuniandikia kupitia email yangu ambayo ni sthugs4j@gmail.com Daima pamoja kwa ajili ya afya zetu!